Klabu ya Arsenal yawatakia waislamu Ramadhan njema

Klabu ya Arsenal imewatakia waislamu wote Ramadhan njema.

Klabu ya Arsenal yawatakia waislamu Ramadhan njema

Klabu ya Arsenal imewatakia waislamu wote Ramadhan njema.

Klabu hiyo imerusha picha ya mchezaji Mesut Özil akiomba dua na kuandika "Ramadhan Kareem".

Shirikisho la soka la Uturuki TFF limeishukuru Arsenal kwa ujumbe huo.Habari Zinazohusiana