Uwanja mkubwa wa michezo tofauti wajengwa Bursa nchini Uturuki

Uwanja mkubwa wa mşchezo tofauti  ya ndani wajengwa mkoani Bursa nchini Uturuki

Uwanja mkubwa wa michezo tofauti wajengwa Bursa nchini Uturuki

 

Uwanja mkubwa wa michezo tofauti ya ndani  wajengwa mkoani Bursa nchini Uturuki, uwanja ambao utakuwa na uwezo wa kuandaa michuano ya kimataifa.

Ujenzi wa uwanja huo unaendela kwa hali ya kuridhisha  mkoani humo ambapo  wahandisi wanafuatilia vilivyo ujenzi wa uwanja huo.

Uwanja huo wa vijana uujanzi wake umeanza chini ya usimamizi wa uongozi wa mkoa wa Bursa kwa ushirikiano na wizara ya michezo  na vijana.

Uwanja huo wa ndani wenye ukubwa wa amili 34 unachukuwa eneo la mita 7 919 na kuwa uwanja mkubwa nchini Uturuki wakati ujenzi wake utakapomalizika.

Uwanja huo una uwezo wa kupokea watazamaji zaidi ya 2 500 na kuchezwa  michuano tofauti ya ndani ya kimataifa , vyumba tofauti  kwa ajili ya michezo tofauti vitaandaliwa pamoja na maeneo ya kuongelea, mazoezi, jogging na michezo ya olimpiki.

Uwanja huo  ambao utakuwa mkubwa, ujenzi wake tayari umekamilika kwa kiasi cha asilimia 70.

 Habari Zinazohusiana