Timu ya walemavu ya Uturuki yachukuwa kombe la Fano nchini Italia

Timu ya Uturuki ya walemavu yachukuwa  kombe la Fano kwa kuichapa timu ya Ufaransa kwa mabao 5-0 nchini Italia

Timu ya walemavu ya Uturuki yachukuwa kombe la Fano nchini Italia

 

Timu ya Uturuki ya malewamavu imeichapa timu ya Ufaransa  kwa mabao matano kwa sifuri na kuchukuwa kombe la Fano nchini Italia.

Mechi kabambe imechezwa baina ya timu hiyo machachari ya Uturuki na timu ya Ufaransa katika uwanja wa Mancini Jumapili nchini Italia.

Timu ya Uturuki ilikutana kwanza na timu ya Italia na baadae kuichapa timu ya Ufaransa.

 

 Habari Zinazohusiana