Arda Turan  asajiliwa na timu ya Başakşehir ya Uturuki

Nyota wa zamani wa Barcelona asajiliwa rasmi katika jimu ya soka ya Başakşehir ya Uturuki

Arda Turan  asajiliwa na timu ya Başakşehir ya Uturuki

 

Nyota wa zamani wa Barcelona Arda Turna amefahamishwa kusajiliwa rasmi katika timu ya kabumbu ya Başakşehir ya Uturuki.

Taarifa kuhusu kusajiliwa kwa nyota machachari huyo imetolewa katika ukurasa rasmi wa Twitter ya timu hiyo ya mjini Istanbul Başakşehir ya Uturuki.

Kiongozi wa timu ya Başakşehir amefaulu kumsajili nyota huyo katika timu yake  anayotaraji kuwa mtari wa mbele katika michuano ya Süper Lig ya Uturuki.

Katika ujumbe uliotolewa na Göksel Gümüşdağ  ni kwamba Turan anarejea nchini Uturuki  ambapo atasakata kabumbu akiwa na sare ya timu ya Başakşehir.Habari Zinazohusiana