Beşiktaş ya Uturuki yailaza Leipzig katika mzunguko wa 6

Timu ya soka ya Uturuki Beşiktaş yailaza timu ya Leipzig katika mechi ya mzungumzo wa 6 Champions  League kwa mabao mawili kwa moja

Beşiktaş ya Uturuki yailaza Leipzig katika mzunguko wa 6

 

Timu ya soka ya Uturuki Beşiktaş yaşlaza timu ya Leipzig katika mechi ya mzunguko wa 6 ya Champions league kwa mabao mawili kwa moja katika kundi G.

Mechi yao iliochezwa Jumatano imemalizika kwa ushindi wa Beşiktaş ya Uturuki.

Ikiwa imefudhu tayari, Beşiktaş imejipatia bao lake la kwanza kwa mkwaju wa panati uliosawazishwa na  Alvari Negredo.Habari Zinazohusiana