Ramos kumpokea kwa mikono miwili Neymar akijiunga na Real Madrid

Sergio Ramos, nahodha wa klabu ya Real Madrid, alisema kuwa atapokea kwa mikono miwili kuja kwa Neymar Da Silva ikiwa atapenda kujiunga na Real Madrid.

Kulingana na tangazo alilolitoa alhamisi, Ramos alisema kuwa milango ya Real Madrid yiko wazi kwa Neymar. Real Madrid ni timu bora kwa kila mchezaji mzuri na Neymar ni mmoja wao.

Ramos amesema kuwa ni mawazo yake binafsi, alisema kusajiliwa kwa Neymar kutoka PSG kuja Real Madrid ni kitu rahisi kuliko kutoka Barcelona kuja Real Madrid.

Ikumbukwe kuwa Neymar ameihama klabu ya Barcelona kuelekea PSG kwa kitita cha milioni 222 za Euro.

 Habari Zinazohusiana