Mlinda lango wa kimataifa wa Uhispania Iker Casillas ajinyakulia tuzo la Golden Foot 2017

Mlinda lango wa kimataifa wa Uhispania , Iker Casillas, ambaye anaichezea FC Porto amapata tuzo la « Golden Foot Award 2017 »

Mlinda lango wa kimataifa wa Uhispania Iker Casillas ajinyakulia tuzo la Golden Foot 2017

 

Mlinda lango wa kimataifa wa Uhispania , Iker Casillas, ambaye anaichezea FC Porto amapata tuzo la « Golden Foot Award 2017 » na kuweza kuwa kwenye orodha moja mtaliano Gianluigi Buffon aliejinyakulia tuzo hilo kabla yake. 

Tuzo la  « Golden Foot Award 2017 » limepewa Iker Casillas mwenye umri wa miaka 36 hiyo jumanne. Tuzo hilo hupewa mchezaji bora anaezidisha umri wa miaka 28.

Casillas nimshindi wa kombe la dunia la mwaka wa 2010, na Euro 2008, 2012 akiwa na timu yake ya taifa ya Uhispania

 Habari Zinazohusiana