Nyumba ya spika wa bunge yavamiwa na majambazi

Nyumba ya spia wa bunge la Ufaransa Richard Ferrand yavamiwa na majambazi

Nyumba ya spika wa bunge yavamiwa na majambazi

 

Majambazi wavamia nyumbani kwa spika wa bunge la Ufaransa Richard Ferrand.

Akızungumzia tukio hılo Ferrand, alisema yanayoendelea nchini Ufaransa yanafanya afya ya demokrasıa nchını humo itiliwe mashaka

Ferrand alısambaza picha katika ukurasa wake wa mtandao wa Twitter zinazoonyesha uharibifu uliofanywa na majambazi hao akizisindikiza na ujumbe usemao,hakuna kitu chochote kinachoweza kufanya mashambulizi na vitisho viwe halali. 

 Habari Zinazohusiana