Iran yatengeneza kombora lenye uwezo wa masafa ya kılomıta moja

Iran yatambulisha kiwanda chake kipya cha kutengeneza makombora sambamba na kuonyesha kombora jipya la Dezful lenye uwezo wa masafa ya kılomita 1

Iran yatengeneza kombora lenye uwezo wa masafa ya kılomıta moja

 

Jeshi nchini İran (DMO) limetengeneza kombora la nchi kavu lenye uwezo wa kufıka umbali wa kilomita  1. Kombora hilo limepewa jina la Dezful.

Katıka sherehe za kutambulisha kiwanda kilichopo chini ya ardhi kinachotnegeneza makombora nchini İran, Kamanda wa kikosi cha DMO, Muhammed Ali Jaferi alisema kitendo cha wao kukitambulisha kiwanda cha kutengeneza makombora kilichopo chini ya ardhi ni majibu yanayoliza kwa serikali za magharibi. Kwani serikali hizo zilidhani kwamba vitisho na vıkwazo vya kiuchumi ilivyoweka dhidi ya Iran vitaizuia Iran kutekeleza miradi yake.

Kamanda huyo alisema Nguvu za kiulinzi za taifa hilo kwa sasa ni za hali ya juu na kwamba hawahofii kitu chochote.

Kombora la Dezful linauwezo wa kufıka umbali wa mita 300 zaidi ya lile la Zulkifar lenye uwezo wa kufıka masafa ya mita 700. Uwezo wa uharıbıfu wa kombora la Dezful ni mara 2 ya Zulkifar.

 Habari Zinazohusiana