Tetemeko la ardhi Chile

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.7 limeikumba  Chile.

Tetemeko la ardhi Chile

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.7 limeikumba  Chile.

Kwa mujibu wa habari,tetemeko hilo halikusababisha hasara yoyote ya mali wala hamna mtu yeyote aliteripotiwa kupoteza maisha.

Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Geolojia cha Marekani tetemeko hilo limetokea kilomita 15 kusini mwa Coquimbo.

Imeelezwa kuwa hakuna hatari ya tsunami baada ya tetemeko la ardhi lililotokea kwa kina cha kilomita 53.

 

 Habari Zinazohusiana