Shambulizi la bomu lapelekea vifo vya watu 8 Afghanistan

Maafisa usalama  8 wamepoteza maisha katika shambulio la bomu lililotokea katika eneo la Mohammed Enver Ishakzey, huko Afghanistan.

Shambulizi la bomu lapelekea vifo vya watu 8 Afghanistan

Maafisa usalama  8 wamepoteza maisha katika shambulio la bomu lililotokea katika eneo la Mohammed Enver Ishakzey, huko Afghanistan.

Msemaji wa idara ya polisi Ahmadzey amewaambia waandishi wa habari, ya kuwa mshambuliaji alitega bomu katika gari la gavana.

Ahmadzey amethibitisha kuwa gavana amejeruhiwa huku polisi nane wakiwa wamepoteza maisha.

Watu wengine 10 wameripotiwa kujeruhiwa.

Kundi la Taliban limetangaza kuhusika na shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana