Mwaka mmoja baada ya kaunza operesheni ya Tawi la Mzaituni Syria

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  azungumzia jitihada za Uturuki katika mapambano dhidi ya ugaidi

Mwaka mmoja  baada ya kaunza operesheni ya Tawi la Mzaituni Syria

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  azungumzia jitihada za Uturuki katika mapambano dhidi ya ugaidi.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kuhusu jitihada za jeshi la Uturuki katika mapambano dhidi ya ugaidi.

Ikiwa mwaka mmoja umepita tangu kuanza kwa operesheni ya Tawi la Mzaituni ilioendeshwa na  jeshi la Uturuki kwa ushirikiano na jeshi huru la Syria.

Operesheni ya Tawi la Mzaituni ilianzisshwa alianzishwa kwa lengo la kuwaondoa magaidi katika jimbo la Afrine nchini Syria.

Baada ya mkutano  wa kuwatambulisha wagombea wa Samsun, rais Erdoğan  amejielekeza Ordu.

Rais Erdoğan amesema kuwa jeshi la Uturuki limewaangamiza magaidi na kuwazika katika mahandaki yao Jarabluz, Al Bab, na maeneo mengine nchini Syria.Habari Zinazohusiana