Ni wapi  unakoelekea ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani ?

Ni wapi  unakoelekea ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani ? Uchambuzi

Ni wapi  unakoelekea ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani ?

Kutokana na hali inayoendelea katika siku za hivi karibuni ni kwamba matokeoa haya yanaonesha ni kiasi gani mwaka  2019 utakuwa mwaka wa kuzungumzia kuhusu ushirikiano kati ya Marekani na Uturuki.

Hali ya mabadiliko  ambayo imejiTokeza katika siku chache za hivi karibuni katika ushirikiano kati ya Marekani na Uturuki  inaonesha kuwa mwaka  2019 utakuwa mwaka wa  mvutano   kati ya mataifa hayo mawili. Hali hiyo ni kwamba Marekani na Uturuki zinatakiwa kutumia   uendeshwaji na mawasiliano katika suala zima la  mfumo wa kujhami na makombora wa S-400 , ndege za kivita aina ya F-35  na ushirikiano katila kutafuta suluhu kunako mzozo wa Syria ambao umekwishadumu kwa zaidi ya miaka mitano.

Ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani  ni ushirikiano  ambao umeshuhudiwa kuwa katika hali ya vuta nikuvute kutokana na kwamba hakuna ushirikiano usiokuwa na mikwaruzo.  Miongoni mwa mikwaruzo iliojitokeza katika ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani ni  suyala zima la wanamagmbo wa kundi la YPG ambao wamepewa silaha na Marekani , Marekani inadai kuwa wanmagambo wa kundi hilo ni washirika wake katika mapambano dhidi ya ugaidi huku Uturuk ikilitaja kundi hilo kuwa  tawi la kundi la kigaidi la kundi ambalo hushambulia maeneo ya mipaka ya Uturuki.

Katika kipind cha wiki mbili kumeshuhudiwa hali ya kutokuelewana kati ya Uturuki na Marekani.

Hapo awali Marekani ilikuwa  imesema kuwa  mfumo wa  kujilinda na makombora wa S-400 uwezekana wake wa kuuziwa Uturuki ulikuepo na lengo lake ilikuwa ni kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.  Hali ilipelekea masuala mengi kujitokeza  Kulizungumziwa  uwezo wa kşuchumi na sula zima kufikisha kwa wahusika katika serikali.  Tumepuuzia uamuzi  wa kuuzwa mfumo huo wa kujşhami na makombora kwa makubaliano na Marekani. Iwapo Marekani ştaona uamuz wa Uturuki na mfumo huo wa  kujihami na makombora kama  uhasama   pasi bila shaka kutakuwa na  mvutano  katika suala hilo kati ya Uturuki na Marekani.

 Iwapo Marekani itachukuwa uamuzi usio sahihi kwa kutoa  ndege za kifita aina ya F-35 ambazo Uturuki tayari imekwisha lipia, kitendo cha kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 itakuwa kama mvutano mpya.

 Mvutano aidha mzozo ambao unaweza kujitokeza  wakati Uturuki itakapo kabidhiwa mfumo huo wa kujiham na makombora  S-400 , Marekani  huenda ikiaweka katika vitando     vikwazo vinavyotajwa na na CAATSA . CAATSA , Marekani hutumi kuwekea vikwazo mataifa ambayo  hununua silaha kutoka Uturuki. Ushirikiano na Urusi katika sekta ya ulinzi Marekani huekea  vikwazo taifa  lolote ambalo hushirikiana na Urusi.

 

Baada ya jambo hilo kunashuhudiwa kuwa Marekani imechukuwa uamuzi wa kuondoa wanajeshi wake nchini Syria.

 Licha ya kutangazwa kwa uamuzi huo, mkakati wa kuondoka nchini Syria kwa jeshi la Marekani na uamuzi huo  kumezua pia mvutano kwa kuwa kulijadiliwa  hapo awali.

Kutokana na maamuzi hayo kwa Marekani kuondoa wanajeshi wake Syria , Mattis alitangaza kujşuzulu, ujumbe maalumu wa Marekani katika mapambano dhidi ya Daesh Mc Gurk pia walitangaza kujiuzulu.   Baada ta kujşuzulu kwa viongozi hao kumeonesha sura mpya katika utawala wa rais Trump. Uturuki itashuhulikia suala zima la usalama  Syria baada ya Marekani kundoa wanajeshi wake .Habari Zinazohusiana