Waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na waziri wa ulinzi wa Urusi

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar azungumza na  waziri wa ulinzi wa Urusi Sergey Shoygu azungumza na waziri wa ulinzi wa Uturuki  Hulusi Akar  kuhusu Syria

Waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na waziri wa ulinzi wa Urusi

 

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar azungumza na  waziri wa ulinzi wa Urusi Sergey Shoygu azungumza na waziri wa ulinzi wa Uturuki  Hulusi Akar  kuhusu Syria.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wa ngazi za juu katika jeshi wamejadili   hali inayoendelea katika ukanda  na mazungumzo ya Sochi kuhusu Syria .

Mazungumzo kati ya viongozi hao yamefanyika kwa njia ya simu.

Hali  inayoendelea Idlib  pia imezungumzwa na viongozi hao.Habari Zinazohusiana