Shirika la THY laanzisha safari za moja kwa moja kati ya London na Ankara

Shirika la ndege la Uturuki, THY, limeanzisha safari za moja kwa moja kutoka London mpaka Ankara

Shirika la THY laanzisha safari za moja kwa moja kati ya  London na Ankara

 

Shirika la ndege la Uturuki (THY) limeanzisha safari za moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa Gatwick mjini London kwenda Ankara.

Safari hiyo kati ya uwanja wa ndege wa Gatwick wa mjini London na uwanja wa ndege wa Esenboğa wa mjini Ankara itakuwa mara mbili kwa wiki, siku za Jumamosi na Jumatano. 

Mkurugenzi mkuu wa THY  mjini London, Celal Baykal, pamoja na mkuu wa oparesheni katika kiwanja cha ndege cha Gatwick, Guy Stephenson waliwakabizi tiketi za kwenda Uturuki abiria walioshinda bahati nasibu waliyoiandaa.

 


Tagi: Ankara , London , THY

Habari Zinazohusiana