Waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na Joseph Dunford

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar azungumza na Joseph Dunford

dunford-akar2.jpg
Akar.jpg


Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar azungumza na Joseph Dunford.
Hulusi Akar waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na wazziri Joseph Dunford . Katika mazungumzo yao viongozi hao wa ngazi za juu katika jeshi,  jenerali  Güler pia ameshiriki.
Katika mazungumzo viongozi hao wamejadili  kuhusu kupokonywa  silaha wanmagambo wa kundi la YPG/PKK , silaha ambazo walipewa na Marekani katika kile ambacho kilitajwa kuwa yushirikiano katika mapambano dhidi ya kundi la wangambo wa Daesh.

 Kulingana na taarifa zilizotoleea na waziri wa ulinzi wa Uturuk Hulusi Akar, suala la Manbij linatakiwa kupatiwa uvumbuzi haraka iwezekanavyo.
Waziri wa ulinzi wa Uturuki aliendelea akisema kuwa usalama katika mipaka ya Uturuki ni jambo ambalo llimepewa kipaumbelea na jeshi la Uturuki katika kitimiza majukumu yake.Habari Zinazohusiana