Shambulizi nchini Iran

Watu wanne wafariki na wengine 27 wajeruhiwa katika shambulizi Kusini-Mashariki mwa Iran

Shambulizi nchini Iran

Watu wanne wafariki na wengine 27 wajeruhiwa katika shambulizi  Kusini-Mashariki mwa Iran.

Watu wanne waripotiwa kufariki na wengine 27 wajeruhiwa katika shambulizi lilitokea  Baluchistan  Kusini-Mashariki mwa Iran.

Magaidi wameshambulizi kituo kimoja cha Polisi  cha Sabar  na kusababisha maafa hayo.

Kituo cha runingacha Iran kimefahamisha kuwa  Polisi imetoa taarifa kuwa tukio hilo limetekelezwa na gari lililokuwa limesheheni vilipuzi karibu na kituo hicho.

Tukio hilo limetokea majira asubuhi. Majeruhi katika tukio hilo walipelekwa haraka  katika hospitali zilizokaribu  kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Taarifa hiyo ya Polisi imesema kuwa magaidi waliokuwa katika gari hilo lililokuwa na vilipuzi walijaribu kuingia katika kituo hicho bila mafaanikio na kulipua mabomu waliokuwa nayo.Habari Zinazohusiana