Msemaji wa bunge la Uturuki nchini China

Binali Yıldırım, msemaji wa bunge la Uturuki afanya ziara rasmi nchini China

Msemaji wa bunge la Uturuki nchini China

Binali Yıldırım, msemaji wa bunge la Uturuki  afanya ziara rasmi nchini China.

Msemaji wa bunge la Uturuki Binali Yıldırım afanya  zaira rasmi nchini China na kufhamisha kuwa ushirikiano kati  ya Uturuki na China unazidi kuimarika pindi myaka inavyozidi kusonga  mbele.

Bnali Yıldırım asemfahamisha kwamba rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amekutana na rais wa China Xi Jinping  katika mkutano wa G 20 uliofanyika mjini Buenos Aires nchini Argentina.

Walipokutana  viongozi hao walizungumzana kuchukuwa maamuzi muhimu katika ushirikiano kati ya Uturuki na China.

Ushirikiano kati ya Uturuki na China unashuhudiwa kuzidi kuimarika siku hadi siku.

Katika ziara yake nchini China spika wa bunge la Uturuki amakutana na viongozi tofauti wa  taifa huku akitaraji pia kukutana na rais Xi.

China na Uturuki ni mataifa ambayo yana historia kubwa katika bara la Asia na ushirikiano wao ukiwa pia wa kihistoria.

Ushirikiano katika mradi wa « msafara wa hariri » ni ishara mpya ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.Habari Zinazohusiana