Mchakato wa Brexit

Kutoka katika   taasisi ya utafiti wa kisiasa, uchumi na  jamii  Can ACUN  kutoka SETA

Mchakato wa Brexit

Mnamo Juni mwaka 2016 , Uingereza  ilipiga kura ya maoni ambayo lengo lake ilikuwa ni Uingereza kuweza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya.

Baada ya   zoezi zima hilo la kura ya maoni kwa Uİngereza kujondoa katika Umoja wa Ulaya, Uingereza inaanza mazungumzo na mataifa ya Umoja wa Ulaya ambayo ni mataifa 27 ambayo ni wanachama wa Umoja wa huo.

Baada ya mazungumzo mmawaziri kadhaa kutoka nchini Uingereza walijiuzulu baada ya kusainiwa makubaliano au mktaba ambao ulikuwa makubaliano yake yalikuwa katika kurasa zaidi ya 600.

Makubalano hayo yalisainiwa kati ya Uingereza na mtaifa hayo ya Umoja wa Ulaya ambayo ni mataifa 27.

Kunatarajiwa kutolea nyaraka ambazo  zitaidhinisha  Uingereza kujondoa katika Umoja wa huo  Disemba 11.

Katika bunge la Uingereza , wengi  mşongoni mwa wabunge  wanadaiwa kuwa  hawatoidhinisha  makubalaino hayo  kwa makubaliano yaliosainiwa yanatakiwa kuendelea kujadiliwa kabla ya  kuidhinishwa moja kwa moja.

Kutoka katika   taasisii ya utafiti wa kisiasa, uchumi na  jamii  Can ACUN  kutoka SETA anatufafanulia…

      Iwapo  pande zote  hazitosaini wala kufanyia maerekebesho kabla ya muda  wake wa kuonddoka katika Umoja wa Ulaya basi Uingereza  itakuwa  imeshinda na kutoka ikiwa kifua juu katika Umoja wa Ulaya.

 Katika hali ya kuepuka  hali kama hiyo, nyaraka za makubaliano  ya Theresa May na Uingereza pamoja na Umoja wa Ulaya imepiga hatua kubwa ambayo ilikuwa ikisubiriwa.

 Licha ya kuwa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya walionesha wasiwasi wao kwa Uingereza kujiondoa  katika Umoja huo,  viongozi wa mataifa hayo  wamezungumzia  uongozi na makubaliano yyaliosainiwa.

 Katika juhudi za kuzuia mataifa mengine katika Umoja huo kuweza kujiondoa baada ya Uingereza kujiondooa, tunashuhudia kuwa Uingereza  imetoa kipaumbelea maslahi ya Umoa wa Ulaya.

 Katika mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya,  Uhispania ni taifa ambalo kwa muda mrefu lilipinga  makubaliano ya Brexit.

Uwepo wa eneo la Gibraltar Kusini mwa Uhispania  kunapelekea  tishio la  kura ya VETO ya serikali ya Uhispania.

Gibraltar inamilikiwa na  Uingereza tangu mwaka 1713 huku Uhispania ikiwa inadaia kuwa eneo hilo ni ardhi yake.  Eneo hilo kulingana na makubaliano ya Brexit   yataathiri haki ya Uhispania na Gibraltar.

Serikali ya Uhispania kuhusu sauala zima hilo la Gibraltar amezungumza na Umoja wa Ulaya  na kufahamisha kwamba anataraji mabadiliko  na vle vile kuna uwezekanao wa  kura yake ya turufu.

Mzozo wa Ireland na Ireland ya Kaskazini kuna mzozo ambao pia aunatakiwa kupatiwa suluhisho kutokana na kupakana na Uingereza.

Pande ambazo  zimapakana zimechukuwa uamuzi wa  kuweka muda wa  uongozi wa mpito hadi mwaka 2020 na kujaribu kupatia sulahu la amani kuhusu Ireland.

Kutokana na hilo Uğngereza  itashiriki katika mkutano wa  forodha katika kipindi cha mpito na haitokuwa na maamuzi ya ina yeyote.

Suala zima kuhusu Brexit limejadiliwa mara kadhaa  na serikali ya Uingereza katika mikutano yake iliofanyika baada ya tafa hilo kuonesha na yake ya kutaka kuondoka katika Umoja wa Ulaya.

 Bunge la Uingereza ndilo litakalo amua ni kipi kinahitajika kuhusu Brexit.

Makubaliano ya Brexit sio tu mfano kwa   mataifa mengine bali pia kuna mataifa mengine katka Umoa huo ambayo yanaweza kufuata mkondo wa Uingereza.

Kwa sababu hiyo  tunaweza kuzungumzia pa kuhusu Uturuki na harakati zake za kutaka kujiunga na Umoja wa Ulaya kama  tulivyoshuhudia katika  mataifa ya Balkans yalivyojiunga katika  Umoja wa  mataifa ya Ulaya.

Ushirikiano kati  ya Uingereza na Umoja wa Ulaya unaweza kuchukuliwa katika mtazamo mwingine ambao kwas asa unakuwa wa kihistoria.

kwa upande mmoja au mwingine, Uingereza kuondoka katika Umoja wa Ulaya kutakuwa na  athari za kimkakati.  Wadadsi wanazungumzia kuhusu ushawishi wa  Urusi katika mataifa ya Ulaya Mashariki. Iwapo Umoja wa Ulaya utampoteza mshirika wake muhimu katika Umoja wa huo barani Ulaya  basi bila shaka, kisiasa Ulaya itazidi kudhoofika kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Katika kipindi ambacho Uingereza ilikuwa mwanachama katika Umoja  huo Ulaya ilikuwa ni bara lenye nguvu na lenye umoja kwa ushirikiano na Uingereza. Bila shaka  Uingereza ikijiondoa basi  Umoja huo utapoteza nguvu zake. Ushirikiano bain aya mataifa ya Ulaya utakuwa  hatiani.

Urusi ni mshirika wa  Uturukii  na kwa upande mwingine  na mataifa mabyo inapakna. Vile Uturuki  inashirikiana kwa kiasi kikubwa na mataifa ya bara la Afrika.

Uchambuzi kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA, Can ACUN .

 Habari Zinazohusiana