Mradi wa TurkStream

Kutoka katika kitengo cha  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN

Mradi wa TurkStream

Kwa ushirikiano kati ya rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  na rais wa Urusi Vladimir, hafla maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa mradi huo umefanyika mjini Istanbul Mradi huo ni ni mradi ambao utakuwa ukitegemmewa katika soko la nishati.

Mabomba ya gesi asilimia kutoka Urusi kupitia Uturuki  yatakuwa yakisafirisha gesi   kuelekea barani Ulaya. Viongozi wa mataifa hayo mawili wamezungumzia kuhusu umuhimu wa mradi huo katika ukanda.

Mradi huo ni kama kituo cha nishati kwa Uturuki na unachukuliwa kwa kupewa umuhimu mkubwa.

Gesi kutoka nchini Azerbaijan kuelekea Uturuki na Ulaya na bomba la TANAP matarajio yake bado ni makubwa katika sekta ya nishati. Mafuta kutoka nchini Iraq kupitia ceylan ambalo  ulimwengu  umezungumzia   mfumo wa kisiasa katika soko la nishati  kwa lengo la  kukidhi mahitaji  ya nishati.

Kutoka katika kitengo cha  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN  anatuletea ufafanuzi…

Mradi wa TurkStream au Türk AKIMI  ulipendekezwa na rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwaka 2014.  Baada ya kupendekezwa radi huo ulianza katika mji wa Anapa nchini Urusi na kutumia eneo la urefu wa kilomşta 930  na bahari Nyeusi.

Mradi huo wa TurkStream ni mradi ambao malngo yake ni ksafirisha gesi kutoka Urusi kupitia Uturuki na kutoa huduma ya  gesi  katika mataifa ya  Ulaya ambayo yanahitaji gesi asilia kwa ajili ya matumizi katika vşwanda na matumizi ya kila siku. Uturuki huwa na  ikihitaji  mita za ujazo biloini  15,75  za gesi asilia kila kila mwaka.

Kiwango cha zaidi ya mşta za ujazo  blioni 31,5 za gesi  zitakuwa zikisafrishwa na  kupitia  nchini Uturuki.

Msemaji wa  Kremlin Urusi , Dmitri Peskov amesema kuwa kuna uwezekana kwa mataifa mengine kujşunga na Uturuki  katika mradi huo wa gesi asilia na kufikia pia kiuraisi katika mataifa matano kwa haraka.

Kwa mfano , waziri wa nishati na mali ya asili wa Serbia Antic, amesema kuwa Ulaya ina jukumu  la kulindia  usalama mradi huo na kuhakikisha kuwa gesi inafika kwa usalama katika mataifa ya batra hilo.

 Mataifa ambayo yatakuwa pia yakinufaika na  mradi huo miongoni mwa mataifa hayo niBulgaria ambayo inapakan na Uturuki, Serbia, Hungary  na Austria. Kuna umuhimu mkubwa  mradi huo  kuwelindiwa usalama.  Bila shaka mradi  huo utapelekea  maendeleo katika ukanda kwa kuwa utarahisisha matumizi ya nishati.

 Mradi wa TurkSteam utakuwa ni mradi ambao ni hatua miongoni mwa hatua za mwanzo ambazo zinalenga maendeleo kwa ushirikiano kutokea Urusi na  kuinua sekta za uchumi za Uturuki na Urusi.

Kunaonekana pia kuwa na mvutano kati ya Bulgairi na Ugiriki.  Waziri  mkuu wa Ugiriki Aleksi Tsipras  alifahamisha kuwa alikuwa akitaraji kuwa mabamba ya mradi huo  yaweze kupitia nchini Ugiriki.

Waziri mkuu wa Ugiriki amesema kuwa ataendelea kufanya mazungumzo na  viongoni wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels  kuhusu ombi hilo  la Ugiriki.

 Mradi huo unaifanya Uturuki kuwa kituo  muhimu cha nishati kwa kuwa ni kituo kikubwa cha usafirishaji   wa gesi  asilia moja kwa moja kuelekea Balkans kutokea nchini Urusi.

 Katika kpindi cha kilichopita, ushirikiano kati ya Uturuki na Urusi  umebiga hatua kubwa katika nyanja tofauti.

 Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amezungumza ushirikiano katika sekta ya uchumi na kusema kuwa malengo ni kufikia kiwa cha  dola bilioni 100 katika biashara kati ya Uturuki na Urusi.

Ushirikiano kati ya Uturuki na Urusi ni ushirikiano ambao kila kukicha unapiga hatua, Rais wa Urusi  Vladimir Putin na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan wamekuwa wakikutana mara kwa mara na kuzungumza kuhusu miradi ya ushirikiano.

Ushirikiano katika sekta ya nishati kati ya mataifa hayo mawili umefikia hatua  ya kusonga mbile zaidi.

Licha ya mştazamo tofauti katika sauala zima la Krimea , vita vya Ukraina na mzozo wa Syria   mataifa hayo mawili yanaendelea kushirikiana katika sekta ya nishati.

Ili kutatua mizozo ambayo imejitokeza, kuliandaliwa mazungumzo ya amani kwa ajili ya Syria  Astana na Sochi.

Kutoka katika kitengo cha  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN  ametufafanulia.Habari Zinazohusiana