Mfalme wa Saudia na suluhisho la  kisiasa kuhusu mzozo wa Syria  na Yemen

Mfalme wa Saudia  aunga mkono suluhisho la kisiasa  katika mzozo wa Yemen na Syria

Mfalme wa Saudia na suluhisho la  kisiasa kuhusu mzozo wa Syria  na Yemen

Mfalme Salman bin Abdel Aziz atoa wito na kuunga mkono suluhisho la kisiasa  katika mzozo wa Syria na Yemen na kutokomeza ugaidi.

Mfalme wa Saudia amesema kuwa baada ya kutokomeza makundi ya kigaidi nchini Syria, raia wa Syria waruhusiwa kurejea katika ardhi yao.

Katika wito huo mfalme wa Saudia  amesema kwamba  mzozo wa Palestina ni suala ambalo bado linashuhulisha uongozi wake.

Kwa mujibu wa mfalme wa Saudia,  taifa hilo litaendelea na juhudi zake   katika harakati za kutatua mizozo katika ukanda.Habari Zinazohusiana