Çavuşoğlu azungumza  kuhusu ushirikiano na waziri wa mambo ya nje wa Afghanistan

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza  kuhusu ushirikiano na waziri wa mambo ya nje wa Afghanistani

Çavuşoğlu azungumza  kuhusu ushirikiano na waziri wa mambo ya nje wa Afghanistan

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza  na waziri wa mambo ya nje wa Afghanistani  kuhusu ushirikiano.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azu ngumza kwa njia ya simu na waziri wa  mambo ya nje wa Afghanistani Selehaddin Rabban kuhusu ushirikiano kati ya Uturuki na Afghanistani.

Taarifa kuhusu mazungumzo kati  ya Mevlüt Çavuşoğlu na  waziri wa mambo ya nje wa Afghanistani imetolewa na vyanzo vya habari katika ofisi za waziri wa mambo ya nje wa Uturuki mjini Ankara.

Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa kuhusu kulichozungumziwa katika mazungumzo yao.
Mevlüt Çavuşoğlu atakutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika mkutano wa Novemba 19 hadi 20 mjini New York.Habari Zinazohusiana