Tetemeko la ardhi Australia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5 limeikumba Australia.

Tetemeko la ardhi Australia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5 limeikumba Australia.

Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Utafiti wa Geolojia wa Marekani (USGS), kutetemeka kwa ardhi kwa kina 10km kumesikika karibu na Ziwa Muir kusini magharibi mwa Australia.

Ofisi ya Hali ya Hewa ya Australia imetangaza kwamba hakuna hatari ya tsunami baada ya tetemeko hilo.

Tetemeko la ardhi lilitokea mapema asubuhi,  kilomita 150 kutoka eneo la mji wa Kojonup.Habari Zinazohusiana