Uturuki na mazungumzo ya kujiunga na Umoja wa Ulaya

Umoja wa Ulaya waunga mkono kuanza upya mazungumzo kuhusu Uturuki kujiunga na Umoja  huo

Uturuki na mazungumzo ya kujiunga na Umoja wa Ulaya

Msemaji wa kamishna  ya Ulaya Margaritis Schinas amefahamisha Jumatano  kuwa  baraza la Ulaya  linaunga mkono kuanda upya kwa mazungumzo na Uturuki kwa ajili ya kujiunga na Umoja wa Ulaya.  

Katika taarifa fupi iliotolewa na msemaji huyo wa baraza la Ulaya,  katibu mkuu wa kamishna wa Ulaya Jean –Claude Juncker  anaunga mkono pia kuanza upya kwa mazungumzo  kuhusu Uturuki kujşunga na Umoja wa Ulaya.

Jean-Claude Juncker, na Doland Tusk katika mkutano uliofanyika Bulgaria  Machi 26 walionesha umuhimu  wa mabadiliko na kuhakikisha ujirani mwema  na Uturuki.Habari Zinazohusiana