Athari za vikwazo dhidi ya Iran

Kutoka katika   taasisi ya utafiti wa kisiasa , uchumi na jamii, Can ACUN anatufafanulia

Athari za vikwazo dhidi ya Iran

Baada ya rais wa Marekani Donald Trump kuchukuwa uamuzi wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia yaliosainiwa zaidi ya mara tano  katika utawala wa rais  rais Barack Obama. Marekani ilitangaza kuiwekea vikwazo vipya Iran  Agosti 7. 

Awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Iran  ilikwisha Novemba 5 baada ya siku 180. Marekani chini ya utawala wa Trump imeonekana kubalisha maamuzi yaliochukuliwa katika kipindi cha utawala uliopita.

Vikwazo hivyo vya Marekani dhidi ya Iran vinalenga jhaswa mashirika ya nishati ya Iran, benki na mashirika ya bima.

Kutoka katika   taasisi ya utafiti wa kisiasa , uchumi na jamii, Can ACUN anatufafanulia mada yetu

Katika awamu ya kwanza, Marekani iliiwekea Iran vikwazo  kuptia sarafu yake ya dola, vikwazo vililenga sekta ya uchumi, madini , dhahabu, bidhaa za chuma, makaa ya mawe na bidhaa nyingine tofauti.

Katika uwamu ya pili  tulishuhudia vema  kuwekewa vikwazo mashirka ya  uzalishaji mafuta ya Iran. Kuwekewa vikwazo mashirika hayo yanahuika na uzalishaji mafuta malengo yake bila shaka ilikuwa kudhoofisha sekta ya uchumi wa Iran kwa kuwa taifa hilo linategemea pia  kuzidi kuimarisha uchumi wake kupitia  rasilimali zake ikiwemo pia mafuta.

Bidhaa zinazopatikana  kupitia mafuta nazo zilikuwa miongoni mwa bidhaa zilizowekewa vikwazo.

Kati ya vikwazo muhimu vilivyochukuliwa na utawala wa  rais Marekani Donald Trump  dhidi ya Iran ni makubaliano ya nyuklia yaliokuwa yamesainiwa hapo awali. Kuliwekwa vikwazo vya kielektroniki na mfumo wa SWİFT. Mfumo huo unarahisisha usafirishaji pesa  kimataifa kwa njia ya kielektroniki.

SWİFT imesitishwa katika benki za nchini Iran. Makao makuu SWİFT yalifahamisha kuwa kufuatia vikwazo vivyo, ofisi zake  zimechukua hatua hiyo kama kuheshimu utekelezwaji wa vikwazo. Vikwazo vingine vililenga  uwekezaji, malengo yake bila shaka ni kudhoofisha uchumi wa taşfa hilo.

Taasisi za uwekezaji . uwekezaji na ushirikiano wa kimataifa na benki za İran umekuwa mdogo . ushirikiano huo umezuiliwa kwa kiwango ambacho Iran itakuwa ikihitaji kila wakati   usaidizi  jambo ambalo Iran  kwa hali na mali inajaribu kukabiliana nalo.

Wakati Iran ikikabiliwa na vikwazo hivyo ambayo  malengo yake  hayawezi kuwa mema kwa Iran, Marekani imeorodhesha  raia zaidi ya 700 wa Iran katika  orodha ya watu wanaotakiwa kuwekewa vikwazo kama ilivyowekwa dhidi ya Iran yenyewe.

Mshauri wa Marekani katika idara ya ulinzi John Bolton amezzungumzia pia kuhusu vikwazo vinavyoikabili Iran  na kusema kuwa vikwazo hivyo vinastahili kutokana na mwenenddo wa Iran lazima viheshimishwe kwa kutekelezwa.  John Bolton ameendelea akisema kuwa  vikwazo sio tu katika kipndi cha utawala wa rais Barack Obama.

Vikwazo hivyo vilitolewa na Marekani dhidi ya Iran  havikutekelezwa na mataifa kama  China, India, Italia, Ugiriki, Uturuki na mataifa mengine matatu. Wakati huo rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amesema kuwa vikwazo dhidi ya Iran ni jambo liliowazi ila kwa mtazamo wa Uturuki , awamu za vikwazo  hivyo ni kutaka kuyumbisha  usawa uliokuwepo tayari ulmwenguni. Ulimwengu kwas asa umekwishabadilika hakuna mtu anaekubaliwa kukandamizwa na kuwa chini ya utawala wa kibepari.

Muamko uliopo kwa sasa ni  amani ya kudumu na uhuru kwa kujiamini na uwezo wa kujitawala na kusnga mbele. Rais wa Uturuki ameendelea akisema kuwa  mataifa ya Umoja wa Ulaya  yanajadili suaşla ambalo lipo wazi.

Rais wa Uturuki REcep Tayyıp Erdoğan amezungumzia kuhusu mauzo ya nje ya nishati kwa Iran. Hatua ya Uturuki  kuhusu vikwazo dhidi ya Iran mtazamo wake upo wazi .

Vikwazo hivyo ni jambo jingine ambalo  Uturuki haina haja kufuata kwa moja hadi hatuo nyingine.

Rais wa Uturuki amesema kuwa  kesi asilia na nishati zaidi ya  mita  bilioni 10 inahitaji  katika mahitaji yake ya kila siku. Iwapo Uturuki haitonnunua basi  itakuwa moja ya sababu  ya kutaabisha raia wake katika kipindi cha baridi. Uturuki haiwezi kukubali jambo hilo.

Kwa upande wake waziri wa mambo ya nje wa Urusi Serguie Lavrov , vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni kinyume cha sheria na makubaliano ya kimataifa kama ilivyo katika  maazimia ya  baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

Ufaransa, China na Ujerumani  ni miongoni mwa mataifa ambayo  yamepinga vikwazo hivyo  vya Marekani dhidi ya Iran. Kufuatia maauzi hayo ya matafa hayo kupinga  vikwazo vya Marekani, Marekani imefahamisha kuwa  itawekea vikwazo mashirika makubwa ya mataifa hayo yanayoendesha shughuli zake Marekani kwa lengo la kutaka kuendelea kuwa na shinikizo kwa mataifa hayo na shirikka yake.

Kutoka katika   taasisi ya utafiti wa kisiasa , uchumi na jamii, SETA Can ACUN Habari Zinazohusiana