Marekani itajuta kuiwekea vikwazo Iran

Marekani ştajuta kuiwekwa vikwazo Iran asema waziri wa mambo ya nje  Jawad Zarif

Marekani itajuta kuiwekea vikwazo Iran

Jawad Zarif, waziri wa ammbo ya nje wa Iran afahamisha Jumanne kuwa Marekani itajuta kuiwekea vikwazo Iran.

Jawad Zarif amesema kuwa muda utakapowadia Marekani na uongozi wa Donald Trump utaelewa kuwa sera zake dhidi ya Iran hazitoifikisha Marekani katika malengo yake.

Waziri wa mambo ya nje wa Iran ameendelea kusema kuwa utawala wa Trump  utajuta kwa kuiwekea Iran vikwazo kwa kuwa marais wa zamani wa Marekani waliweza kubadili mtazamo kuhusu Iran baada ya kuiwekea vikwazo.

Waziri Jawad amesema kwamba Trump atafahamu kuwa hukna umuhimu wa kuiwekea Iran vikwazo visivyokuwa  na msingi.Habari Zinazohusiana