Mataifa manne yakutana kwa ajili ya Syria

Kutoka katika   taasisi ya  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Mtafiti Can ACUN anatuletea tathmini ya  makala  yetu

Mataifa manne yakutana kwa ajili ya Syria

Mjini IUstanbuli nchini Uturuki kulifanyika mkutano  ambao uliandaliwa na serikali ya Uturuki kwa ajili ya hali inayoendelea nchini Syria.

Mkutano huo ulifanyika kati ya Uturuki, Ufaransa, Ujerumani na Urusi. Malengo ya mkutano huo ni kuhakikisha kuwa amani ya kudumu inarejea nchini Syia . Kulichukuliwa maamuzi ambayo bilas haka katika juhudi za kuhalkikisha raia wa taifa hilo wanarejea nchini mwano na kulijenga taifa lao baada ya vita abayo tayari imekwishazidi miaka mitano.

Licha ya kuwa kumechukuliwa maamuzi kuhusu Syria , kuna matatizo  mengine ambao pia yanahitaji  kutatuliwa.  Kwa hali hiyo tunaweza kuzungumza kuhusu  hali iliopo mpakani mwa Syria na Irak kutokana na makundi ya kigaidi ambayo yanajaribu yanajaribu mara kwa mara kuwweka ngome zake katika  maeneo hayo ya mipakani.

Makundi kama kundi la wanamgambo wa Daesh,YPG na YPD kundi ambalo lnatambulika kimataifa kuwa tawi la kundi la kigaidi ambalo huwa likishambulia Uturuki. Makundi ya kşgaidi katika eneo hilo  huwa yakijaribu pia kushambulia Uturuki, hivyo basi mkutano huo umezungumzia pia mbinu za kuzuia mashambulizi dhidi ya Uturuki. Ngome  na maficho ya wanamgambo wa  makundi ya kşgaidi kama YPG zimekuwa zikishambuliwa. Idlib  baada ya kuwa ngome za wapinzani wa serikali ya Syria, makundi yaliokimbilia katika eneo hilo yamekuwa baadhi yakishambuliana.

Licha ya matukio kama hayo kutokea,  kulichukuliwa maaamuzi muhimu kuhusu Syria  na kufahamishwa kuwa  nchini Syria kuna matatizo mengi ambayo yamesababishwa na vita ambayo kusuluhishwa kwake ni kusitishwa kwa vita na mapigano.

Kutoka katika   taasisi ya  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Mtafiti Can ACUN anatuletea tathmini ya  makala  yetu ya leo.

Viongozi wanne wa  mataifa manee ikiwa Ufaransa, Uturuki, Ujerumani na Urusi walikutan mjini Istanbul kuzungumzia hali inayoendelea nchini Syria na kuchukuliwa kmaamuzi muhimu ambayo bila shaka malengo yake n amani ya kudumu nchini Syria.

Kulizungumziwa umuhimu wa mchakato wa kikatiba  ambao malengo yak eni maslahi ya Syria katika wakati ujao. Katiba mpya kwa ajili ya Syria  itakuwa jambo lenye manufaa kwa taifa na uongozi ujao. 

Amani haiwezi kupatikana kama matatizo na tofauti zote nchini humo  hayatojadiliwa ipasavyo.  Katiba mpya kupigiwa kura na raia wa Syria , jambo hilo linaweza tekelezwa iwapo amani itadumishwa katika ardhi yote ya Syria. 

Mchakato huo ni jambo gumu kwa kuwa kwa sasa  raia wengine zaidi ya milioni  wanaishi uhamishoni kutokana na vita hivyo nchini humo.

Mchakato wa kura hiyo  kwa ajili ya  katiba ni vigumu kutekelezwa kufuatia vizuizi tofauti  kama kuzuiliwa kwa wakimbiz kutoka Syria wanaotaka kupewa vibali vyao vya kitaifa nah ati za kusafiria. Serikali ya Assad anazuia raia wao kupewa haki yao.

 Kuna umuhimu  mkubwa kwa Syria  kuheshimishwa  makubaliano ambayo ni kusitishwa kwa mapigano Idlib, kuendelea makabilaino  na kupambana na makundi ya kigaidi.  Uturuki katika juhudi zake za  kutaka kuepuka ma madhara makubwa  imejitolea kwa kiasi kikubwa ili mzozo uliopo upatiwa suluhisho la kidiplomasia.

Hali inayoendelea katika eneo la mpakani mwa Syria  na Irak ni operesheni zinazoendeshwa dhidi ya makundi ya kigaidi kama Daesh na YPG . Kuliendeshwa operesheni  kwa ushirikiano na  jeshi la Marekani,  Ufaransa na Italia  na kundi la  YPG  kwa muda wa miezi kadhaa. Operesheni hiyo imeendeshwa  dhidi ya kundi la wangambo wa kundi la Daesh.

 Wanagambo wa kundi hilo waliondoka na kutafuta maficho mpakani mwa Irak. Mashambulizi  dhidi ya wanamgambo hao nchini Irak yameendeshwa  na kikosi cha Hashd al Muabi katika ukanda.-

Kulizungumziwa umuhimu wa mchakato wa kikatiba  ambao malengo yak eni maslahi ya Syria katika wakati ujao. Katiba mpya kwa ajili ya Syria  itakuwa jambo lenye manufaa kwa taifa na uongozi ujao. 

Amani haiwezi kupatikana kama matatizo na tofauti zote nchini humo  hayatojadiliwa ipasavyo.  Katiba mpya kupigiwa kura na raia wa Syria , jambo hilo linaweza tekelezwa iwapo amani itadumishwa katika ardhi yote ya Syria. 

Mchakato huo ni jambo gumu kwa kuwa kwa sasa  raia wengine zaidi ya milioni  wanaishi uhamishoni kutokana na vita hivyo nchini humo.

Mchakato wa kura hiyo  kwa ajili ya  katiba ni vigumu kutekelezwa kufuatia vizuizi tofauti  kama kuzuiliwa kwa wakimbiz kutoka Syria wanaotaka kupewa vibali vyao vya kitaifa nah ati za kusafiria. Serikali ya Assad anazuia raia wao kupewa haki yao.

 Kuna umuhimu  mkubwa kwa Syria  kuheshimishwa  makubaliano ambayo ni kusitishwa kwa mapigano Idlib, kuendelea makabilaino  na kupambana na makundi ya kigaidi.  Uturuki katika juhudi zake za  kutaka kuepuka ma madhara makubwa  imejitolea kwa kiasi kikubwa ili mzozo uliopo upatiwa suluhisho la kidiplomasia.

Hali inayoendelea katika eneo la mpakani mwa Syria  na Irak ni operesheni zinazoendeshwa dhidi ya makundi ya kigaidi kama Daesh na YPG . Kuliendeshwa operesheni  kwa ushirikiano na  jeshi la Marekani,  Ufaransa na Italia  na kundi la  YPG  kwa muda wa miezi kadhaa. Operesheni hiyo imeendeshwa  dhidi ya kundi la wangambo wa kundi la Daesh.

 Wanagambo wa kundi hilo waliondoka na kutafuta maficho mpakani mwa Irak. Mashambulizi  dhidi ya wanamgambo hao nchini Irak yameendeshwa  na kikosi cha Hashd al Muabi katika ukanda. Mapambano dhidi ya ugaidi ni jukumu la Uturuki kuhakikisha usalama katika mipaka yake pia.

Kutoka katika   taasisi ya  utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Mtafiti Can ACUN anatuletea tathmini ya  makala  yetu

Tagi: Syria , Uturuki , Daesh , YPG

Habari Zinazohusiana