Kansela  wa Ujerumani akosoa toleo la Saudia kuhusu kifo cha Khashoggi

Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel akosoa toleo la Saudia kuhusu kifo cha Jamal Khashoggi

Kansela  wa Ujerumani akosoa toleo la Saudia kuhusu kifo cha Khashoggi

Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel akosoa toleo la Saudia kuhusu kifo cha Jamal Khashoggi

Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel akosoa toleo la Saudia  kuhusu kifo cha mwanahabari wa jarida la Washington Post Jamal Khashoggi ambae alipotea tangu Oktoba 2 na kutangazwa kufariki baada ya uchunguzi mjini Istanbul.

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amekosoa toleo la Saudia kuhusu kifo cha mwanahabari huyo.

Serikali ya Saudia imethibitisha kuwa Jamal Khashoggi aliuawa katika ubaloziwake mdogo mjini Istanbul  baada ya kutokea kwa ubomvi bain aya Khashoggi na maafisa  katika ubalozi huo.

 Taarifa hiyo Bi Angela Merkel amefahamisha kuwa toleo la Saudia linastahili kukosolewa.

Tagi: Saudia

Habari Zinazohusiana