Mchakato wa Sochi kuhusu Syria na mfumo wa S 300

Mwandishi na mtafiti wa SETA ( taasisi ya utafiti wa siasa, Uchumi na Jamii)  Can ACUN anatufafanulia.

Mchakato wa Sochi  kuhusu Syria na mfumo wa S 300

Kipindi tulichoishi Syria kulikuwa na matukio mengi  muhimu.

Urusi na Iran kuunga mkono utawala wa Asad jingine lilikuwa ni uwezekano wa Idlib kushambuliwa, tukio hili la pili halikutokea  kwa sababu ya msimamo usioyumba wa Uturuki , Katika kilele cha makubaliano ya Sochi Uturuki na Urusi zilisaini makubaliano.

Makubaliano ya Sochi yaliwalinda zaidi ya raia milioni tatu wanaoishi Idlib dhidi ya mashambulizi ya kivita na majanga ya kiutu, Mkataba huu ulizipa Uturuki na Urusi majukumu maalum.

Makubaliano yalitaka litengwe eneo la upana kati ya kilomita 15 – 20 ambapo silaha hazitaruhusiwa, zifunguliwe njia M4 na M5 kwa ajili ya magari na  iwepo sehemu ya biashara huru. Askari wa Urusi na Uturuki walinde mipaka ya pande mbili ya eneo hilo.

Ndege zisizokuwa na rubani za Urusi na Uturuki zitumike kulinda amani ya eneo la Idlib. Tukio jengine muhimu ilikuwa  pale kwa bahati mbaya mfumo wa ulinzi wa Asad ulipoidungua ndege ya Urusi IL-20 kipindi walipokuwa  wakishambuliwa na Izrael.

Wakati Urusi ilikuwa ikiilaumu Izrael kwa tukio hili. Izrael yenyewe iliulamu utawala wa Assad kwa uzembe wake. Kutokana na tukio hilo Urusi iliupatia  utawala wa Asad mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya anga, S-300.

Mwandishi na mtafiti wa SETA ( taasisi ya utafiti wa siasa, Uchumi na Jamii)  Can ACUN anatufafanulia.

Makubaliano ya Sochi kati ya Uturuki na Urusi yalikabidhi majukumu makubwa  kuhusiana na eneo la Idlib kwa Uturuki na Urusi. Utekelezaji wa mkataba huu kwa namna moja au nyingine ungeleta ugumu na hatari kwa Uturuki, kwa upande mwingine Uturuki ilikuwa na vitendea kazi vingi kuweza kuutekeleza mkataba huu.

Kwa Uturuki  hatari na ugumu mkubwa ilikuwa  eneo hili la Idlib kuna vikundi mbalimbali vya kimageuzi kama vile Ahrar al-Sham.   Ila uwepo wa  kijeshi katika uwanja wa mapambano  dhidi ya uwezekana wow a aina yeypte ya mshgambulizi wa serikali  kuliendeshwa mikakati ya kuzuia jambo hilo kutokea kwa kuwa madhara yake yangekuwa na thari kubwa katika ukanda mzima kujumla. 

Makombora ya kukabilşna na vifaru na magari mengine ya kivita, slha nzito na silaha nyingine za  uzio wa kawqaida ikiwemo pia makombora yenye ukubwa wa milimeta 23 hadi 57.

Makubaliano kuhusu Idlib ilikuwa pamoja na  kuwapokonya  wapiganaji katika makundi tofauti silaha wazaomiliki.  Kupokonywa kwa silaha hizo ni  malengo ambayo kufikiwa kwake ni usalam wa kudumu katika eneo hilo na maeno mengine.

Kutokana na hilo ni wazi kuwa ınaoneka kuwa eno hilo ltakuwa limeepushwa na silaha nzito ambazo vbila shaka zingeendelea kuhatarisha usalama katika ukanda mzima kuanzia eneo hilo.

 Mashambuli ya anga dhidi ya Idlib  yamezungumziwa  katika mkutano ulioandaliwa mjini Sochi nchini Urusi kwa ushirikiano na Uturuki.

 Uturuki imesimama kidete kuhakikisha kuwa hakuna umwagaji damu utatokea kwa mara nyingine nchini Syria kwa kufanya mazungumzo na Urusi ili kuikenaisha serikali ya Syria na jeshi lake kukomesha mashambulizi ya aina yeyote Syria. Kulingana na taarifa zinazotolewa kuhusu eneo la Homn ni watu zaidi ya 600 000  wbado wanaishi katika eneo hil Kaskazini mwa jiji hilo. Vile vile idadi kubwa ya wakaazi wa eneo hilo wamekwisha rejea katika kakaazi yao.

Watu zaidi ya milioni 3 wameweza kupokelewa na khifadhiwa nchini Uturuki tangu kuzuka kwa mapigano nchini Syria sasa zaidi ya miaka mştano.  Diplomasia ya Uturuki imeonekana kuwa ushawisha katika Ukanda. Uturuki pia iğmetoa msaada mkubwa kwa wakimbizi ambao walikuwa wakihitaji msaada wa kibinadamu.

 Tukiangazia suala engine ni Urusi kuituhumu Israel kushambulia ndege yake na kupelekea wanajeshi   wake kufariki.

Ndege ya Urusi ilishambuliwa kimakosa na jeshi la Syria ikishikizwa na jeshi la Israel. Urusi ilichukuwa uamuzi wa kulikabidhi jeshi la Syria  mfumo wa  kujihami na makombora wa S-300. Mfumo huo utakuwa ukilinda anga la Syria dhidi ya shambulizi la ana yeyote lile.

 Licha ya kuwa mvutano kati u-ya Urusi na Israel haukuibua mvutano mkubwa,  malengo ya Isarel ilikuwa ni kuzuia  umiliki wa eneo la naga la Israel kuweza kushambuliwa na jeshi la Assad.

Urusi imetoa mfumo huo wa S-300 wa kujihami na makombora baada ya tukio hilo ambalo limepelekea maafa na hasara kwqa jeshi la Urusi.

Jeshi la Isreal lmekuwa likijaribu mara kwa mara kushambulia ngome za wanamgambo wa kundi la Hezbollah ambalo linadhamiğwa na Iran na kushutumiwa kushiriki katika mapgano nchini Syria.  Mfumo wa S-300 ni ngao kwa jeshi  laSyria. 

Mfumo wa kujihami wa jeshi la anga la Urusi ni mfumo ulioa na  uwezo mkubwa wa kuzuia mashambulizi ya aina yeyote ya makombora.  Hali hiyo neonesha kuwa jeshi la Syria litakuwa na uwezo wa kukabiliana na mashambulizi kutoka katika jeshi la Ushiriki  ambalo lililundwa dhidi ya serikali ya Assad  likiongozwa na Marekani. 

Kukabidhiwa kwa  mfumo huo wa kujihami ni  fursa kwa Syria kuweza kujihami  katika Ukanda na sio tu kutoka  Israel bali katşka mataifa yote ambayo  hayaridhishwi na utawala uliopo nchini Syria.

Kutoka katika taasisi ya utafiti wa kisiasa, kijamii na uchumi, mtafiti Can ACUN ametufafanulia mada yetu kutoka SETA

 Habari Zinazohusiana