Mazungumzo kuhusu kuondolewa kwa visa kati ya Uturuki na Urusi bado yanaendelea

Mazungumzo katika ya Uturuki na Urusi kuhusu uwezekano wa kuondolewa kwa viza bado yanaendelea

Mazungumzo kuhusu kuondolewa kwa visa kati ya Uturuki na Urusi bado yanaendelea

Mazungumzo katika ya Uturuki na Urusi kuhusu uwezekano wa kuondolewa kwa viza bado yanaendelea

Uturuki na Urusi bado zaendelea na mazungumzo kuhusu mchakato wa kuondolewa kwa visa  kati ya mataifa hayo kwa lengo la kurahisisha  uchukuzi na ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Balozi wa Uturuki  nchini Urusi Hüseyin Diriöz akiongea katika kikao alichofanya na jumuiya ya wafanyakazi wa kituruki na warusi (RTIB) mjini Moscow alisema ili kukuza mahusiano ya kiuchumi na biashara kati  ya Uturuki na Urusi inabidi visa ziondolewe pande zote mbili.

Dirios amesema kuwa mazungumzo kuhusu suala hilo ya yataendelea mwanzoni mwa  Novemba.Habari Zinazohusiana