Rais Erdoğan azungumza na rais wa Serbia Aleksandar Vucic

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza  kwa njia ya sim una rais wa Serbia Aleksandar Vucic

Rais Erdoğan azungumza na rais wa Serbia Aleksandar Vucic

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza  kwa njia ya sim una rais wa Serbia Aleksandar Vucic.

Rais wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu na rais wa Serbia Aleksandar Vucic Jumanne jioni kuhusu ushirikiano kati ya Uturuki na Serbia.

Katika mazungumza yoa viongozi hao wamezungumza kwa kiasi kikubwa kuhusu umuhimu wa kudumisha amani katika ukanda mzima na kuwa na matumaini katika wakati ujao.

Viongozi hao wamezungumzia suala zima la ushirikiano karti ya Uturuki na Serbia.
 Serbia kwa upande wake nayo imefahamisha kuwa  itaongeza juhudi zake  za maendeleo ili kupiga atua katika sekta yake ya uchumi kwa ushirikiano na Uturuki.Habari Zinazohusiana