Jeshi la Israel lashambulia Ukanda wa Gaza

Jeshia anga la Isarel lashambulia maoeneo tofauti  Ukanda wa Gaza

Jeshi la Israel lashambulia Ukanda wa Gaza

Mpalestina mmoja auawa na wengine  watatu wajeruhiwa katika shambulizi la anga la jeshi la Israel  katika maeneo tofauti Ukanda wa Gaza.

Kulingana na  taarifa zilizotolewa na waziri wa afya wa  Ukanda wa Gaza, syhambulizi la anga la jeshi la Israel limepelekea kifo cha  kijana mmoja wa kiplaestina mwenye umri wa miaka 25  ambae alikuwa akifahamika kwa jina la Naci ez-Zeanin.

Shambulizi hilo limefanyika  Beyt Lahya. Taar,fa hiyo kutoka katika ofisi za idara ya afya zimethibitisha pia kujeruhiwa kwa watu wengine watatu.

Jeshi la anga la Israel limeshambulia maeneo tofauti Ukanda wa Gaza na ndeg zake za kivita mapema asubuhi.

Msemaji wa jeshi la Israel amesema kwamba shambulizi hi,lo ni jibwa la shambulia la kombora lililorushwa kutoka Ukanda wa Gaza.

Jeshi la Israel linadai kushambulia ngome za magaidi Ukanda wa Gaza.

Waziri wa ulinzi wa Israel Avigdor Liberman amese ameomba uongozi wa eneo ambalo kumeshambuliwa kwa makombora mipaka yake kufungwa.

Umoja wa Mataifa juhudi za mazungumzo yaliokuwa yakisimamiwa na Qatar na Misri ili kufikia kusitishwa kwa  mashambulizi Ukanda wa Gaza zimeishia patupu.Habari Zinazohusiana