Mvua zasazabisha mafuriko ya maafa nchini Ufaransa

Watu watatu wafariki  kufuatia mvua kali na mafuriko Aube nchini Ufaransa

Mvua zasazabisha mafuriko ya maafa nchini Ufaransa

Watu watatu waripotiwa kufariki kutokana na mvua kali zilizosababisha mafuriko yaliopelekea maafa nchini Ufaransa.

Mafuriki hayo yametokea katika eneo la Aube Kusini mwa Ufaransa. 

Kulingana na taarifa zilizotolewa na uongpozi wa  eneo hilo, watu watatu wamefariki katika  mjini Villardonnel na Villegailhenc.

Mvua kali  ambazo zmenyesha katika maeneo hayo  zimepelekea maji kujaa urefu wa mita moja na nusu. 

Hali ya dharura imetangazwa katika eneo zima la Aube.

 Habari Zinazohusiana