Watu 20 wauwa katika shambulizi nchini Afghanistani

Watu 20 wafariki na wengine 35 wajeruhiwa katika shambulizi lililolenga kampeni za uchguzi nchini Afghanistani

Watu 20 wauwa katika shambulizi nchini Afghanistani

 

Watu 20 waripotiwa kufariki na wengine 35 kujeruhiwa katika shambulizi lililolenga kampeni za uchaguzi Takhar Kaskazini-Magharibi mwa Afghanistani.

Miongoni mwa watu waliofariki wamo askari watatu wa  idara ya upelelezi.

 Taarifa ya tukio hilo imetolewa Jumamosi  katika tangazo la jeshi la Polisi.

Msemaji wa jeshi la Polisi Khalil Assir amethibitisha kuwa  maafisa watatu wa idara ya upelelezi ni miongoni mwa watu waliouawa.Habari Zinazohusiana