"Kutoweka kwa Khashoggi ni jambo kubwa mno"

Msemaji wa chama tawala nchini Uturuki asema kuwa kutoweka kwa Jamal Khashoggi ni jambo kumba mno

"Kutoweka kwa Khashoggi ni jambo kubwa mno"

Ömer Çelik, msemaji wa chama tawala cha AK nchini Uturuki amesema kuwa kutoweka kwa mwanahabari wa Saudia katika jarida la Washington Post ni jambo kubwa mno.

Msemaji wa chama cha AK amesema Jumamosi kuwa  jambo hilo ni jambo kubwa ambalo linahitaji  uchunguzi wa kina.

Ömer Çelik amefanya mkutano na waandishi wa habari mkoani Adana nchini Uturuki  ambapo amefahamisha kwamba uchunguzi wa kina .

Jamal Khashoggi alionekana akiingia katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul  na hukurudi tena kuonekana jambo ambalo halina ubishi.Habari Zinazohusiana