Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya ardhi Indomesia yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya ardhi katika kissiwa cha Sumatra Indonesia yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya ardhi Indomesia yazidi kuongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya ardhi katika kissiwa cha Sumatra Indonesia yazidi kuongezeka.

Msemaji wa shirikia linalohusika na matukio ya dharura nchini Indonesia Sutopo Purwo Nugroho amesema kuwa idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya ardhi katika kisiwa cha Sumatra imeongezeka na kufikia watu 22.

Maporomoko hayo ya ardhi yalisabaishwa na mafuriko yakiotokea katika kisiwa cha Sumatra.

Watu 11 miongoni mwa watu waliofariki ni wanafunzi wa madrasa ambao shule yao ulifurika maji na kupelekea maafa.

Watu wengine 10  hawajulikani walipo baada ya tukio hilo.Habari Zinazohusiana