Waziri mambo ya nje wa Uturuki azungumza na Mike Pompeo kuhusu Bruson

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu za Mike Pompeo kuhusu mchangaji Brunson

Waziri mambo ya nje wa Uturuki azungumza na Mike Pompeo kuhusu Bruson

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu za Mike Pompeo kuhusu mchangaji Brunson

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki  Mevlüt Çavuşoğlu  azungumza kwa njia ya simu na Mike Pompeo  muda mchache baada ya mchungaji Adrew Brunson kuachwa huru  na mahakama ya Uturuki.

Mchungalji huyo alikuwa chini ya ulinzi nchini Uturuki baada ya kutuhumiwa kushirikiana na  kundi la kigaidi. Mahakam aya mkoani Izmir nchini Uturuki ilitoa hukumu ya miaka mitatu na nusu kama adhabu kwa mchunaji huyo kwa kushirikiana na kundi la kigaidi.

Vyanzo vya habari  kutoka katika ofisi za wizara za mambo ya nje katika mataifa hayo vimefahamisha kıuwa  viongozi hao wamezungumza kuhusu mchungaji Brunson aliekuwa amezuiliwa nchini Uturuki.

Brunson alikamatwa  Disemba 9 mwaka 2016.Habari Zinazohusiana