Wafariki kwa mafua ya ngurue nchini India

Idadi ya watu waliofariki kwa ugonjwa wa mafua ya nguruwe nchini India mwezi huu yafikia 56

Wafariki kwa mafua ya ngurue nchini India

Nchini India ndani ya mwezi huu watu 50 wamefariki kwa ugonjwa wa mafua ya nguruwe ambayo pia unajulikana kama H1N1.

Watu 51 ambao wanashukiwa kuwa wameambukizwa virusi vya ugonjwa huu hali zao ni mbaya.

Imefahamika kwamba kutoka mwezi wa kwanza mpaka hivi sasa watu zaidi ya 91 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa huu.

Kulingana na takwimu ya vifo vilivyosababishwa na ugonjwa huu  mwezi huu umeongoza.

Wizara ya afya inasisitiza juu ya umuhimu wa usafi katika jamii pia katika maeneo mengi nyumba nyingi zimepuliziwa dawa.Habari Zinazohusiana