Mchungaji  Brunson ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani Uturuki

Mchungaji wa Marekani alikutwa na hatia ya kushirikiana na kundi la kigaidi  la PKK ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu  gerezani na na kupunguziwa adhabu

Mchungaji  Brunson ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani Uturuki

Mchungaji wa Marekani alikutwa na hatia ya kushirikiana na kundi la kigaidi  la PKK ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu  gerezani na na kupunguziwa adhabu.

Muandesha mashataka mkoani Izmir nchini Uturuki ametangaza hukumu ya miaka mitatu na mwezi mmoja wa kifungo  dhidi ya mchungaji wa Marekani Andrew Brunson.

Brunson alikamatwa nchini Uturuki  akituhumiwa kuhirikiana na kundi la wanamgambo wa kundi la PKK.

Mchungaji huyo alikuwa akituhumiwa ujasusi kwa manufaa ya kundi la kigaidi la FETÖ na kundi la kigaidi la PKK.

Mchungaji huyo alikuwa amehukumiwa adhabu ya kfungo cha miaka 3,5 amefikishwa mahakamani Ijumaa kwa mara  ya nne.

Brunson alikuwa amewekewa marufuku ya kuondka Uturuki , marufuku hiyo imeondolewa  na kuchwa huru baada ya kupunguziwa  adhabu aliokuwa kapewa.

Wakili mtetezi wa Brunson amefahamisha kuridhishwa na hukumu iliotolewa na mahakama ya Izmir.Habari Zinazohusiana