Maandamano ya kumpinga rais Assad katika jimbo la Idlilb nchini Syria

Mamia waandamana kumpinga rais Assad katika mji wa Idlib nchini Syria

Maandamano ya kumpinga rais Assad katika jimbo la Idlilb nchini Syria

Mamia ya waandamanaji walijitokeza kumpinga rais wa Siria Bashar Al Assad katika maandamano yalioandaliwa  mjini Idlib nchini Siria

Waandamanaji hao walikuwa na kauli mbiu kama " Assad fikiria kuijenga upya nchi", huku wakipepea bandera za mapinduzi pamoja na bandera za Uturuki.

Waandamanaji hao pia walikuwa na mabango yaliyosema Ishukuru serikali ya Uturuku kwa yote iliofanya kutusaidia.

Waandamanaji hao pia wameomba mshirika ya misaada ya umoja wa mataifa wasaidie kambi ya Rukbah ambayo ipo katika mpaka na nchi ya Jordan ambapo Raisi Assad amezuia misaada isiingie kwa miezi kumi sasaHabari Zinazohusiana