Rais Erdoğan atolea wito mataifa ya bara la Afrika kutumia sarafu za kitaifa

Rais wa Uturuki atolea wito mataifa ya bara la Afrika kutumia sarafu za kitaifa katika ushirikiano wa kibiashara

Erdoğan.jpg
forum.jpg
Erdoğan.jpg

Rais wa Uturuki atolea wito mataifa ya bara la Afrika kutumia sarafu za kitaifa katika ushirikiano wa kibiashara

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atolea wito mataifa ya bara la Afrika  kutumia sarafu za kitaifa katika  ushirikiano wa kibiashara. 

Rais Erdoğan amezungumzia kuhusu  umuhimu  wa mabadiliko  wa mitazamo.

Mitazamo hiyo ni pamoja na mfumo wa biashara  kwa kutumia sarafu  za kitaifa.

Hayo rais wa Uturuki amesema katika hotuba yake  aliotoa katika ufunguzi wa mkutano wa  pili wa biashara kati ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika.

Mkutano huo umefanyika mjini Istanbul.

Rais Erdoğan ametolea wito  mataifa  rafiki ya bara la Afrika  kushirikiana katika harakati za kutumia sarafu za kitaifa katika biashara na kuachana sarafu ya Marekani katika  biashara ya kimataifa.Habari Zinazohusiana