Donald Trump asema kuwa Marekani inashirikiana na Uturuki kuhusu sakata la Khashoggi

Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Marekani inashirikiana na Uturuki kuhusu sakata la Khashoggi

Donald Trump asema kuwa Marekani inashirikiana na Uturuki  kuhusu sakata la Khashoggi

Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Marekani inashirikiana na Uturuki  kuhusu sakata la Khashoggi

Rais wa Marekani asema kuwa Marekani inashirikiana na Uturuki kuhusu mwanahabari  wa Saudia ambae hajulikani alipo

Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa  Marekani inashirikiana na Uturuki kuhusu sakata la  mwanahabari wa Saudia Jamal Khashoggi.

Rais wa Marekani amezungumzia kuhusu  hatma ya mwanahabari wa Khashoggi.

Rais wa Marekani amefahamisha kuwa amezungumza na kiongozi wa ngazi za juu wa Saudia kuhusu  mwanahabari wa jarida  la Washington Post.

Mwanahabari huyo alionekana Oktoba 2 akiingia katika ubalozi mdogo wa Saudia Arabia  mjini Istanbul.

Mwanahabari huyo tangu alioonekana akiingia  katika ubalozi huo  hajulikani alipo kwas asa na hakuna taarifa zinazofahamisha kuwa alitoka au hapana.

Trump amesema kuwa hali hiyo ina utata na anasubiri majibu kutoka  kwa viongozi wa Saudia.

Rais wa Marekani amesema kuwa antaraji kumuona mchumba wa Khashoggi ikulu White House.

Trump  ametoa wito wa kuendeshwa uchunguzi wa kina kuhusu sakata hilo na kukumbusha kuwa  Khashoggi alionekana akiingia katika ubalozi mdogo wa Saudia ila  kutoka kwake bado hakujathibitishwa.Habari Zinazohusiana