Pakistani yajaribu kombara lake kwa mafaanikio

Jeshi la Pakistani lajaribu kombara lake "Ghauri" kwa mafaanikio

Pakistani yajaribu kombara lake kwa mafaanikio

Jeshi la Pakistani lajaribu kombara lake "Ghauri" kwa mafaanikio.

Heshi la Pakistani lafahamisha kujaribu kwa mafaanikio kombaro lake la masafa marefu "Ghauri".

Kulingana  na taarifa zizlitolewa na  na kştengo maalumu kilinachohusikana  na makombora nchini Pakistani ISPR, jaribio la kombora la masafa marefu "Ghauri" limekwenda kama ilivyotarajiwa.

Taarifa hiyo imeendelea kusema kuwa kombora hilo limeongezwa uwezo wake na kuwa na uwezo wa kufşka katika umbali wa kilomita zaidi 300.

Kombara hilo ni kwa ajili ya  usalama katika ukanda mzima.

Baada ta jaribio hilo kufaulu viongozi wa Pakistani kama Arif Alvi, Imran Khan na amiri jeshi mkuu Mahmud Hayat wamepokeza  hatua iliopigwa katika jeshi la Pakistani.Habari Zinazohusiana