Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kufanya ziara nchini Venezuela

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki  kufanya ziara rasmi  nchini Venezuela

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kufanya ziara nchini Venezuela

 

Waziri wa mambo ya nje  wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu atarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Venezuela ifikapoa Septemba 21.

Ziara hiyo ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki  itachukuwa muda wa siku mbili.

Katika ziara hiyo, Mevlüt Çavuşoğlu  atakutana na waziri wa mambo ya nje wa Venezuela Jorge Arreaza na baadae kukutana na rais Nicolas Maduro.

Ziara hiyo ni kwa ajili ya kuzungumzia ushirikiano uliopo kati  ya Uturuki na Venezuela.Habari Zinazohusiana