Uingereza yatangaza kutoa msaada kwa waislamu wa Rohingya

Waziri wa mambo ya nje wa  Uingereza amesema kuwa nchi yake ipo tayari kutoa msaada kwa waislamu wa Rohingya.

Uingereza yatangaza kutoa msaada kwa waislamu wa Rohingya

Waziri wa mambo ya nje wa  Uingereza amesema kuwa nchi yake ipo tayari kutoa msaada kwa waislamu wa Rohingya.

Waziri huyo ameyazungumza hayo katika wizara yake ya siku mbili Myanmar.

Jeremy Hunt anatarajia kufanya mkutano na Aung San Suu Kyi siku ya Alhamisi.

Katika ziara yake Burma(Myanmar),waziri Hunt atazuru shirika la kutetea haki za binadamu na kufanya ziara kaskazini mwa Rakhine ambapo maelfu ya wananchi wa Rohingya walikimbilia.

Hunt amesema kuwa Uingereza itaongeza msaad kuwasaidia wananchi wa Rohingya walionyanyanswa kijinsia na wanajeshi wa Burma.

 Habari Zinazohusiana