Watu watatu wauawa katika mashambulizi ya wa kundi la Daesh Irak

Watu watatu wameuawa na wengine 6 wajeruhiwa katika mashambulizi ya wanamgambo wa kundi la Daesh nchini Irak

Watu watatu wauawa katika mashambulizi ya wa kundi la Daesh Irak

Watu watatu wameuawa na wengine 6 wamejeruhiwa  katika mashambulizi yaliotekelezwa na wanamgambo wa kundi la Daesh nchini Irak.

Wanamgambo wa kundi la Daesh wameendesha mashambulizi  Kirkuk na Diyala  nchini Irak.

Miongoni wa watu watatu waliofariki yumo askari polisi mmoja.

Kiongoni wa kitengo cha upelelezi Kirkuk kwa jina la Hamid al Abidi amefahamisha kuwa mashambulizi ya wanamgambo wa Daesh  katika maeneo hayo  katika umbali wa kilomita 55 na  mjini kati Kirkuk yamepelekea watu  watatu kuuawa na kuwajeruhi wengine  6.

Habib al Shamri amewaambia waandishi wa habari kuwa  wanamagmbo wa Daesh hatega mabomu ardhini wakilenga  misafara ya jeshi Ez Zour.

 Habari Zinazohusiana