Watu 11 wafariki katika kimbunga Florence Marekani

Watu 11 wafariki kufuatia kimbunga hatari Florence katika jimbo la Carolina nchini Marekani

sel ABD.jpg
sel.JPG

Watu 11 wamekwishafariki kufuatia kimbunga  Florence  katika jimbo la  Carolina Kaskazini na Carolina Kusini. Watu 11 wamekwishafariki katika dhuruba kali ambayo inakumba eneo la  Mashariki mwa Marekani.

Ikulu ya White House imesema kuwa rais Donald Trump atajielekeza Carolina Juma lijalo  katika eneo ambalo limeathirika vikali kwa dhoruba hiyo.

Majumba na mali zimefaribiwa na dharuba hiyo. Watu zaidi ya milioni 1  wamekosa huduma ya umeme baada ya kimbunga hicho.

Zaidi ya  safari 2000 za ngede zimeahirishwa Carolina.  Kulingana na  wataalimu ni kwamba dhoruba hiyo inapelekea hasara ya thamani ya dola  bilioin 170.

 

 Habari Zinazohusiana