Rais Recep Tayyıp Erdoğan kukutana na rais wa Urusi Jumatatu Sochi

Rais wa Uturuki kukutana na rais Vladimir Putin Jumatatu mjini Sochi nchini Urusi

Rais Recep Tayyıp Erdoğan kukutana na rais wa Urusi Jumatatu Sochi

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atarajiwa kukutana na rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Sochi nchini Urusi Jumatatu Septemba 17.

Taarifa kuhusu mkutanao kati ya rais Erdoğan ana rais Urusi Vladim

R Putin ametolewa Jumapili na  kştengo kinachohusika na upashaji  habari ikulu mjini Ankara na kufahamisha kuwa  katika mkutano huo kutazungumziwa  ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Viongozi wengine wakiwemo mawaziri wa mataifa hayo mawili watafanya mkutano  wakati wa ziara ya rais Erdoğan nchini Urusi.

Suala zima la mzozo wa Syria na masuala mengine ya kimataifa yatazungumziwa.

Siasa,  uchumi, nishati  na kuimairshwa kwa ushirikiano kati ya Uturuki na Urusi vitazungumziwa.Habari Zinazohusiana