Mohamed Al Halbusi achaguliwa msemaji wa bunge nchini Irak

Mohamed Al Halbusi kijana mwenye umri wa miaka 37 achaguliwa kuwa msemaji wa bunge la Irak

Mohamed Al Halbusi achaguliwa msemaji wa bunge nchini Irak

Mohamed Al Halbusi achaguliwa kuwa msemaji wa bunge katika uchaguzi  uliofanyika Jumamosi .

Mwanahabari wa shirika la Anadolu la Uturuki amesema kuwa Mohamed Al Halbusi amechaguliwa kuwa msemaji wa bunge baada ya kupata kura 169.

Wabunge 298 ndio waliopiga kura  kuwachangua  wagombea wawili Mohamed al Hualbusi  na waziri wa zamani wa  ulinzi Khalid al-Obeidi ambae amepata kura 85.

 Habari Zinazohusiana