Mapigano kati ya DAESH na YPG/PKK yaendelea nchini Syria

Mapigano kati ya DAESH na YPG/PKK yanaendelea katika eneo la Deir ez-Zor Mashariki mwa Syria.

Mapigano kati ya DAESH na YPG/PKK yaendelea nchini Syria

Mapigano kati ya DAESH na YPG/PKK yanaendelea katika eneo la Deir ez-Zor Mashariki mwa Syria.

Ni siku ya tano sasa toka kuanze kwa mapigano hayo.

Kwa mujibu wa habari,mgaidi 45 wa PKK wameuawa na magaidi wa DAESH katika mapigano hayo.

Mapigano hayo yameanza baada ya kundi la DAESH kugundua kuwa  PKK/YPG inaungwa mkono na Marekani na Ufaransa kwa ajili ya kuuchukua mji wa Hajin.

Idadi ya magaidi wa DAESH katika mji wa Hajin inakadiriwa kuwa kati ya 1000-2500.Habari Zinazohusiana